Najiuliza ninani mwalimu wangu wa mapenzi jibu sina na simjui!ajabu nakutana na mwanamke najipanga kaama naenda vitani nikikutana naye kwajinsi navyo mshushia misitari hata mimi ninashanga je najiuliza maneno yote yale yanatokaga wapi??mpaka kumbadilisha uelekeo mtu mzima hata kama alikuwa amemwacha bwanayake nje anaweza kumwambia tangulia nitakukuta nimepa dharula kidogo!!
Je kwanini sisi wanaume hizo jitihada tusiziweke kwenye kitu kingine tofauti ?hata kama nikuongeza kipato inaweza kuwa ninzuri zaidi!!

Heeheeheee mkuu, sasa na sisi ambao tulishawapiga chini siku nyingi tufanyeje?!Kuna CD inauzwa ina masomo na skills za "kutangaza" ntawapatieni copy moja moja wote kwa sharti la kuwapiga chini Magamba!