Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
soldjuice dispenser ya mitungi miwili inauzwa
bei ni 900,000 ila maongezi yapo
hii imetumika mwezi mmoja na nusu tu...nikaacha kuitumia nikanunua nyingine ya mitungi mitatu
UJAZO WAKE
ni litre 18 kwa 18..jumla 36
KAZI YAKE
kazi ya juice dispenser ni kupoza juice kama fridge na kuichanganya ili isijitenge
haili umeme saana
inafanya kazi kwenye mvua na jua..juice inakaa iko vizuri
inafaa zaidi kwa biashara kama hotelini au juice pount au popote ili kuuzia juice
mpya inaanzia 1.3m ya mitungi miwili
hii naiuza laki tisa tu na bei inapungua
SABABU YA KUIUZA
imekaa stoo muda sasa..naona bora niiuze tu hela ifanye kiti kingine
inafanya kazi vizuri kila kitu
mawasiliano 0744597493
napatikana Mwanza
karubuni sana