Juice ya Beetroot

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
Napenda kwenda jamaa fast food kunywa, lakini
Siku nyingine huwa hawafanyi, nikaenda kisutu kuyanununua, nikaya blend kufanya juice
lakini test yake imekua ina uchachu uchachu,
hivi inafanywa vipi wadau?
 
Nachukia hiyo juice! NAkushaurri weka sukari kuondoa uchachu. How to make t, dont ask me i dont f know
 
. Boflo ... If you're not really a fan of beets and can't stand the flavor at all, then you can add more apples and a bit of lemon to the mix in order to hide the beet taste.

Beets are a good source of Vitamin C, Iron and Magnesium, Dietary Fiber, Folate, Potassium and Manganese. They also help maintain a healthy weight, and can even help with weightless.

N.B: They do contain a lot of iron, so it's important to not overdo it when it comes to the beet juices.
.

Cc: Tripo9
 
Napenda kwenda jamaa fast food kunywa, lakini
Siku nyingine huwa hawafanyi, nikaenda kisutu kuyanununua, nikaya blend kufanya juice
lakini test yake imekua ina uchachu uchachu,
hivi inafanywa vipi wadau?

Hapa jirani na home kwetu wanauza.
 
Hapa jirani na home kwetu wanauza.
ulijiuliza inatengenezwa vipi au zako ni pwani tu...

chukua hii..

 
ulijiuliza inatengenezwa vipi au zako ni pwani tu...

chukua hii..

Mie kitu pwani tu............hayo ya kuuliza mwisho nikashindwa kuinywa bureeeeeeeeeee........
BTW Asante kwa ujuzzi.
 
I drink here and there...but the juice is so healthy
 
eeenh nazipendaje hizi ndude mwenzenu......mie nazilaga sana katika salad, naweka na mayonaizi weeeeee!
ila kwa juice sijajaribu!
 
eeenh nazipendaje hizi ndude mwenzenu......mie nazilaga sana katika salad, naweka na mayonaizi weeeeee!
ila kwa juice sijajaribu!
Juice yake ni tamu kama ninihii
nenda jamaa fast food utaniambia mwaya
 
sijawahi kunywa hiyo juice labda bestito Paloma nitumie kwa fastjet
 
Last edited by a moderator:
Niko dar best sijaenda chunya best shem wako ameninyima hela ya ticket anasema najiendekeza nipande basi nami sikutaka
mwewe anafika chunya siku hizi??!?! Au uko wapi bestito?
 
Juice ungechanganya na tunda jingine kama embe au passion na sukari kwa mbaliiii



Then Jiandae kushudha kinyesi chekundu / pink
 
hii ilinishinda Boflo lakini kukata ile ladha kabisa wengine huchemsha kwanza ukiwa umeifunika vizuuri mvuke usitoke wengine ndio kuinywa mbichi mbichi
weka passion au embe, na tangawizi kidigo ili ichangamke sana sana passion na tangawizi kwa mbaali.itakuwa safi kabisa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…