Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Habari zenu wadau,binafsi nilikuwa nina mpango wa kuanza kuuza juisi za matunda fresh za aina mbalimbali,sandwich,hamburg na vitu vitamu vitamu mvijuavyo ili niweze kujiongezea kipato.
Sasa ombi langu ni kuomba kufunzwa jinsi ya kuziandaa hizo juisi,sandwich na hamburg,natanguliza shukrani zangu.
Vifaa nilivyonavyo ni blender,frying pan pamoja na jiko.
Nalog off
Sasa ombi langu ni kuomba kufunzwa jinsi ya kuziandaa hizo juisi,sandwich na hamburg,natanguliza shukrani zangu.
Vifaa nilivyonavyo ni blender,frying pan pamoja na jiko.
Nalog off