Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Tafuta Chef ambaye utapata kufanya naye kwa vitendo, na umlipe kidogo 🙂
Nalog in...
Nashukuru sana dada farkhina, kwa msaada wa recipes unaotaka kunipa,M/mungu akutangulie katika hilo,nipo kwenye mchakato huo wa kutafuta vifaa vizuri na rahisi.Kaka Washawasha kuhusu recipes sio tatizo kabisaa muhimu jipange zaidi kwenye vifaa hadi ili sandwich ziwe bomba sana utafute sandwich maker walau ya bei rahisi......
Inshallah mie ntaanza kukusaidia recipes za juices
Nashukuru sana dada farkhina, kwa msaada wa recipes unaotaka kunipa,M/mungu akutangulie katika hilo,nipo kwenye mchakato huo wa kutafuta vifaa vizuri na rahisi.
Nalog off
Nimeshaanza kuuza juisi zenye ladha hizi.
1.Machungwa na nanasi.
2.tikiti maji na machungwa.
3.strawberry na maziwa.
4.juisi ya limao
5.vitamin.
6.juisi ya machungwa
Naomba kama kuna ladha zaidi unifundishe da farkhina,
Nalog off
Nimeshaanza kuuza juisi zenye ladha hizi.
1.Machungwa na nanasi.
2.tikiti maji na machungwa.
3.strawberry na maziwa.
4.juisi ya limao
5.vitamin.
6.juisi ya machungwa
Naomba kama kuna ladha zaidi unifundishe da farkhina,
Nalog off
Nashukuru sana kwa hii nyongeza bi dada,mabungo huku sijawahi yaona. Hizi mbili mimi ndio huwa nazipenda sana,machungwa na nanasi au maziwa na strawberry.1)ukwaju na water melon....kuna arki fulani ambayo yaongeza flavor zaidi naitwa potessa ongezea kwa ladha nzuri zaid
2)avacado,tangawizi,tango na ndimu... hii ndio niipendayo hii usiifanye nyepesi sana...
3)nanasi ikiwa pekee inapendeza zaidi...
4)passion na maembe mapevu....
5)mabungo pekee sijui kama huko yapo hii ni best juice kuliko zote duniani lol