Juice za azam na tatizo la kupata choo kigumu

Hilo la juice uko sahihi kabisa Mkuu, mi nikigusa hata nusu kijiko inabidi nihamie chooni!

Hebu tusaidie, unafikiri kuna kitu gani cha ziada kwenye juice hizo hasa ya nanasi ambacho kinasababisha hali hiyo na hakipo kwenye juice za Ceres au Del Monte?
 
Mode, ondoa hii ki2 hapa kabla maza hajapitia hii kwani home tayari wameshaniamini na kupewa special attention kwamba nikila maharage tu lazima niharishe; kumbe issue ni juice za braza Bakheresa!
 
Halafu nasikia ukiwa unakunywa hizo juisi choo chako kinakuwa kinanukia pafyumu.
 
2nywe maji mengi,2le mboga za majan kwa wingi.2achane na juice za"kichina"
 
kambakamba kama vipi,im in a serious problem with choo kigumu,help me plz

Rafiki, kama una tatizo hilo kwanza pendelea kula mapapai ( kama hujapata choo na unahitahiji kula zima peke yako na liwe limeiva vizuri haipiti hhata saa moja utakuwa uushaenda kushusha mzigo), ndizi, embe. Utasahau hilo tatizo milele.
 
Ukitaka papai likusaidie vizuri kula nusu saa kabla ya kula chakula na nusu saa baada ya kula chakula. ILA KUNA WAKATI HUWA YANAKATAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…