Juisi ya Kuua Toksini (Athari Za Sumu) - Detoxifying juice

Juisi ya Kuua Toksini (Athari Za Sumu) - Detoxifying juice

Baba Mtu

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2008
Posts
870
Reaction score
170
Majani ya Kale (kale leaves) - 3

Brokoli pamoja na miche yake - ½ msongo

Kabeji iliyokatwa pamoja na zizi lake - ½

Nyasi majani (fennel) - 1

Tufaha (apples) - 2
Vipimo vinategemea na ukubwa wa familia



Namna ya kutayarsiha

1. Katakata vitu vyote vipand weka katika bakuli
2. Tia katika mashine ya kukamua juisi, washa mashine ikamue juisi.
3. Mimina katika gilasi ikiwa tayari kunyiwa


Kidokezo:

Juisi hii ni ya kuondosha athari za sumu (toxins) zinazokusanyika mwilini na kusababisha maradhi mbali mali. Kutumia kwake kila baada ya muda kunasaidia kusafisha damu na kumihifadhi mtu na athari za sumu. Kwa maelezo ya utengenezaji wa aina nyingine za juisi soma hapa
Juisi | Alhidaaya.com

Kwa wakazi jiji la dar hayo majani yanapatikana kwa wingi soko la kisutu, wahindi huyatumia sana.
Fungua hapa chini ili majani yenyewe yakoje

1. BROKOLI - Brokoli - Tafuta na Google

2. MAJANI KALE - kale leaves - Tafuta na Google

3. NYASI MAJANI - fennel - Tafuta na Google

4. TUFAHA - apples - Tafuta na Google
 
Thanks!

But we should also be sensible enough to choose a lifestyle in which we don't toxyfy ourselves ... to need detoxs!!
 
Back
Top Bottom