Juisi ya limao ya vuguvugu na asali

Dotto Mnzava

R I P
Joined
Mar 6, 2014
Posts
864
Reaction score
427
Ni kweli kwamba ukianza siku yako na na juisi ya limao ya vuguvugu na asali kijiko kimoja, itakusaidia kuondoa baadhi ya uchafu katika ini, kuongeza uwezo wa mwili kupambana na magonjwa, na mengineyo?

Pia husaidia kusafisha Mfumo wako wa chakula, kuondoa sumu mwilini na kuzuia tumbo kujaa gesi mara kwa mara?

 
Nilifikiri umeisoma hii topic kumbe bado, hembu rejea tena Mkuu Nando
 
Last edited by a moderator:
mbona mi shaga ambiwa kuwa hiyo ni sumu? Aise angalieni msije mkatulisha matango pori ohoooooo....!!!
 

Umesema asali ni kijiko 1. Je juisi ya limau inatakiwa kuwa kiasi gani?
 
Nasikia pia wanawake wanatumia kuweka kwenye papuchi ili kurudisha bikra
 
Aah hapa sio slm tena manake wengine wanasema una kufa?
 
Aah hapa sio slm tena manake wengine wanasema una kufa?

Hapana mkuu, ingekuwa ni kufa ningeshakufa toka nikiwa primary school...ni juice nzuri sanaaa ila niliwahi kuambiwa ukimix asali na Ndimu ndio sumu na sii na limao.
 
mbona mi shaga ambiwa kuwa hiyo ni sumu? Aise angalieni msije mkatulisha matango pori ohoooooo....!!!

Hapana sii sumu ila inaondoa sumu mwilini,ila usitumie mixer ya asali na ndimu kabisa.
 
Hapana sii sumu ila inaondoa sumu mwilini,ila usitumie mixer ya asali na ndimu kabisa.

Ndimu na limao vina asili inayofana. Hivyo ukikosa limau unaweza kutumia ndimu. Hakuna madhara yoyote kuchanganya ndimu na asali.
 
Kama ni hivyo leo ningekua marehemu tayari maana nimetumia leo na siku zote pale office kwangu huyu dada cleaner anajua kuwa siwezi kunywa chai bila asali na limao kwahiyo kwenye meza yangu kuna ka rambo ka limao ambako dada anjua zimebaki ngali na kuongeza , asali nina kadumu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…