Juisi ya miwa husafisha figo, kibofu cha mkojo, mzunguko wa damu na kutibu U.T.I

Juisi ya miwa husafisha figo, kibofu cha mkojo, mzunguko wa damu na kutibu U.T.I

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
Hivi kuna ukweli ndani yake ama tunapigwa tu porojo ili tunywe kwa wingi wapate hela?
 
Porojo za mjini hizo, wewe kula miwa achana na juice [emoji28][emoji28]
 
Ingekuwa na uwezo huo ( Scientifically proven ) hiyo miwa wangekula wenye uwezo
 
Lugha nzuri ni inasaidia Lakin sio kwa 100%

Hapa ukila mua au juice yake ni sawa.
 
Chochote kinachotoka ardhi kwa asilimia kubwa NI DAWA
 
Tusubiri muongozo toka kwa Prof Janabi anasemaje kuhusu hili, kweli sharubati ya miwa inaweza kuwa ni tiba ila tatizo hapa bongo watengenezaji na yale mazingira wanayotengenezea, badala ya kusafisha kibofu inaenda kuvuruga tumbo
 
Back
Top Bottom