Melki Wamatukio JF-Expert Member Joined May 3, 2022 Posts 6,156 Reaction score 10,974 Dec 30, 2023 #1 Hivi kuna ukweli ndani yake ama tunapigwa tu porojo ili tunywe kwa wingi wapate hela?
Siafu na Manga JF-Expert Member Joined Aug 5, 2013 Posts 2,884 Reaction score 8,956 Dec 31, 2023 #2 Porojo za mjini hizo, wewe kula miwa achana na juice [emoji28][emoji28]
Melki Wamatukio JF-Expert Member Joined May 3, 2022 Posts 6,156 Reaction score 10,974 Dec 31, 2023 Thread starter #3 Siafu na Manga said: Porojo za mjini hizo, wewe kula miwa achana na juice [emoji28][emoji28] Click to expand... 😂😂Eti nile miwa, miwa ipo kwa ajili ya watoto wa kike kama akina cocastic na Demi
Siafu na Manga said: Porojo za mjini hizo, wewe kula miwa achana na juice [emoji28][emoji28] Click to expand... 😂😂Eti nile miwa, miwa ipo kwa ajili ya watoto wa kike kama akina cocastic na Demi
Mchizi JF-Expert Member Joined Apr 23, 2009 Posts 2,886 Reaction score 7,000 Dec 31, 2023 #4 Ingekuwa na uwezo huo ( Scientifically proven ) hiyo miwa wangekula wenye uwezo
BAHARI J JF-Expert Member Joined Nov 2, 2016 Posts 930 Reaction score 1,151 Dec 31, 2023 #5 Lugha nzuri ni inasaidia Lakin sio kwa 100% Hapa ukila mua au juice yake ni sawa.
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 42,209 Reaction score 51,004 Dec 31, 2023 #6 Chochote kinachotoka ardhi kwa asilimia kubwa NI DAWA
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 30,567 Reaction score 86,748 Dec 31, 2023 #7 Tusubiri muongozo toka kwa Prof Janabi anasemaje kuhusu hili, kweli sharubati ya miwa inaweza kuwa ni tiba ila tatizo hapa bongo watengenezaji na yale mazingira wanayotengenezea, badala ya kusafisha kibofu inaenda kuvuruga tumbo
Tusubiri muongozo toka kwa Prof Janabi anasemaje kuhusu hili, kweli sharubati ya miwa inaweza kuwa ni tiba ila tatizo hapa bongo watengenezaji na yale mazingira wanayotengenezea, badala ya kusafisha kibofu inaenda kuvuruga tumbo