Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Endeleeeni kunywa Redbull hakuna shida alafu muone kati ya sisi na ninyi nani ataanza kuuguaa !
kuna jamaa pale karibu na usesi bar pale maeneo ya makubur jamaa anatengeneza juice kwa mashine ya kisasa na kwa usafi wa hali ya juu sana,namkubal sana huyu jamaa,tena ni msabato,yupo smat sana.sijawai kunywa juisi ya miwa
sio kuwa siipendi la hasha utengenezwaji wake daaaaaaaaa!
sijawahi ona wanaotengeneza hiyo juice kiusafi coz ata kama ye mwenyewe
atakuwa msafi lakini ukamuliwaji wake hauridhishi utakuta mabati ya
kupeleka juisi kwenye chombo ni kichafu yaani ni full
kichefuchefu.
dam nanni kakuuliza upuuzi tu.usimwangie mtu na biashara yake na udini wako.kuna jamaa pale karibu na usesi bar pale maeneo ya makubur jamaa anatengeneza juice kwa mashine ya kisasa na kwa usafi wa hali ya juu sana,namkubal sana huyu jamaa,tena ni msabato,yupo smat sana.
Juice ya miwa mara ya kwanza nilikunywa Zanzibar...
dam nanni kakuuliza upuuzi tu.usimwangie mtu na biashara yake na udini wako.
mara ya pili ulikunywa wapi mkuu?
dam nanni kakuuliza upuuzi tu.usimwangie mtu na biashara yake na udini wako.
Natafuta mashine ya kutengeneza supu ya pweza