Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Kusafisha Figo lililokuwa ni chafu ili liweze kufanya kazi vizuri.
Chukuwa embe moja kubwa kata Vipande vidogo, kisha kata Vipande vidogo Tufaha la kijani aka Apple.
Kisha Kata limao vipande vidogo kisha kata chungwa vipande vidogo. Kisha kata kipande kimoja cha Tangawizi mbichi kisha Changanya pamoja Weka katika mashine ya blenda na weka maji nusu lita saga vizuri chuja.
Matumizi yake kunywa kila siku Asubuhi kabla ya kula kitu kwa muda wa siku 7 itakusaidia kusafisha figo na kuondoa mawe katika figo lako.