Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Sikupi ushauri uuze figo lako kwani ukiuza figo lako unahatarisha maisha yako yanakuwa ni mafupi mno.Daktari wa kusaidia jamii ni mfano mzuri kwa wanataaluma wengine🙏.
Je'na nikitaka kuuza figo nicheze aviator nafanyaje Doctor?
Kila ugonjwa una dawa yake isipokuwa kifo na uzeeInasaidia hata kwa ambao figo limeharibika kwasababu ya pombe?
Mkuu Mzimu, mambo ya zinaa yametokea wapi tena? HahahaaaKila ugonjwa una dawa yake isipokuwa kifo na uzee
Kinywaji bora ni MAZIWA ya NG'OMBE lakini nyama yake ina maradhi mengi
Usinywe pombe acha na kunywa Energy drink na soda za viwandani
Maji yawe kinywaji chako namba 1 kunywa JUISI za kutengeneza wewe mwenyewe
Jitahidi usipate maradhi yakakulazimu kutumia dawa haswa za antbiotic
Acha ZINAA
Tumia hiyo dawa alokuelekeza mzizi mkavu
Kuwa na imani kwa uwezo wa MUNGU itakuponya
Na bira shaka kwa uwezo wake utapona