Kwa mara ya kwanza nimekunywa juice ya Tende ikiwa na maziwa ya mdango sikuamini, siku yangu ilikuwa njema sana nikiwa na bestfriend wangu, nimewahi kunywa Alkasusu ila sikuona kama performance yake ilikuwa sana kivile but to an extent ila juice ya tende yenye maziwa mgando Eish.
Mtujuze wataalam ambaye ana utaalam wa hivi vinywaji tupeni ushuhuda wenu.
Mtujuze wataalam ambaye ana utaalam wa hivi vinywaji tupeni ushuhuda wenu.