Juko Mushidi mbona yuko kimya sana?

Tambwe kufunga lile goli ni kosa la kawaida ambalo halistahili kumlaum beki kwa next mechi....kwa maoni yangu lufunga bado ni beki mzur ...bado Kisiki banda hajarejea juko acheze karata tu huko kwao
Lufunga atapata shida sana pale kale....Ukiingatia anakutana na mtu ambaye anamsumbua sana ...mara kwa mara.

Kuhusu huyo Banda....nadhani ndio siku ambayo mtamjua vyema....na rafu zake isizo na msingi..


Akiwepo Banda/Lufunga naiona penalty ileeeee kwa mbali..
 
Atapta usumbufu kutoka kwa nani??? wauza sembe wana msuva na kamusoko bhasss wngine hamna kitu
 
Atapta usumbufu kutoka kwa nani??? wauza sembe wana msuva na kamusoko bhasss wngine hamna kitu


Mbona umewataja wauza sembe wachache? Mara hii umesha msahau Tambwe a.k.a Maradona? Tambwe ndio Escobar mkuuu kwenye safu ya pale mbele.

Kete yeyote ile ikimfikia lazima aisukume kambani, nadhani hauto msahau huyu mnyama.

au unataka tuzungumzie ya Chirwa? huyu ni Escobar msaidizi. Nadhani kama unafuatilia takwimu huto leta mjadala wa kubishana kuhusu ubora wake!
 
mkuu umenichekesha na nipo msiban
 
Atapta usumbufu kutoka kwa nani??? wauza sembe wana msuva na kamusoko bhasss wngine hamna kitu
Kuna Muuza sembe wetu mkuu....

Ana majina mengi sana, huenda ikawa sababu ya kumsahau.

Anaitwa "Tambwe" aka Kubwa la Maadui, aka Escobar mwenyewe ,aka Maradona, aka muuaji wa nyavu za Simba ! au mmeshamsahau huyu.......alisababisha mng'oe viti pale Taifa
 
Wanayanga mumesahau mapinduzi cup nani alicheza kama siyo banda? Je alipewa kadi nye kudu?
 
Sijawahi kufurahia ushindi wa Yanga dhidi ya Simba. Ila huwa nafurahi mashabiki wake wanavyolialia baada ya mechi.
 
Mbona mmeshaanza visingizio mapema
 
Yap hilo ni kweli kabisa
 
Well said GENTAMYCINE tena hao mnaowasifia (kina Mwanjali na Bokungu) wote Wazee,Jmos wata'face mziki wa kina Msuva.
Bokungu cjui Bukungu c anajidai fundi wa kupandisha mashambulizi,ajiandae kula mituc ya mashabiki wa mikia mana'ke Chirwa anafanyia mazoezi kupita upande wake uleX2
 
Pole nilijifunza zamani sana nikiwa mdogo kuwa kucheka sio Mara zote inamanisha kufurahi sasa yaweza kucheka kwako ni kilio karibu tena jumamosi jioni huku tukiwaacha kwa poit NGO vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…