Juko Mushidi mbona yuko kimya sana?

hivi kwanza mwanjali amepona? Maana atleast partnership yake na banda ni nzuri, lufunga ni mzuri ila kwa mechi ya jmosi kama mwanjali kapona aanze na banda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…