Jukwaa gani hapa jf unapendelea sana kulitembelea?

Jukwaa gani hapa jf unapendelea sana kulitembelea?

Gwangzu

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2017
Posts
2,457
Reaction score
3,818
Habari zenu wakuu hivi ni jukwaa gani hapa jf unapendelea sana kulipitia kuliko mengine naanza na mimi napendelea sana kupitia jukwaa la International. Na habari na hoja mchanganyiko weka na ww yako
 
Yote kasoro la siasa, nimeliblacklist kbsa, mana kule sijawah pita nikatoka nafuraha
 
Mm napenda jukwaa la wakubwa japo hawataki kuniadd sjui kwann
 
Mimi habari mchanganyiko, Dr. JF nainjoi sana na pia najifunza mengi
 
Ila jukwaa la [HASHTAG]#Siasa[/HASHTAG] sijawah kutoka na [HASHTAG]#furaha[/HASHTAG] kule tantalila nyingiiii kila mtu ana [HASHTAG]#PhD[/HASHTAG] ya siasa na analipwa mshahara [HASHTAG]#MKUBWASANA[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom