Habari zenu wakuu hivi ni jukwaa gani hapa jf unapendelea sana kulipitia kuliko mengine naanza na mimi napendelea sana kupitia jukwaa la International. Na habari na hoja mchanganyiko weka na ww yako
Ila jukwaa la [HASHTAG]#Siasa[/HASHTAG] sijawah kutoka na [HASHTAG]#furaha[/HASHTAG] kule tantalila nyingiiii kila mtu ana [HASHTAG]#PhD[/HASHTAG] ya siasa na analipwa mshahara [HASHTAG]#MKUBWASANA[/HASHTAG]