Pure Scientific JF-Expert Member Joined Nov 19, 2015 Posts 716 Reaction score 643 Jan 12, 2016 #1 Salaam wakuu... JF ina majukwaa mengi, zaidi ya kumi. Hivi ni jukwaa gani haujawai hata siku moja kulifungua na hata kusoma post zake? Hapa namaanisha haulielewagi...
Salaam wakuu... JF ina majukwaa mengi, zaidi ya kumi. Hivi ni jukwaa gani haujawai hata siku moja kulifungua na hata kusoma post zake? Hapa namaanisha haulielewagi...
Rangi ya buti Member Joined Sep 5, 2015 Posts 57 Reaction score 39 Jan 12, 2016 #2 jukwaa la 0714......
talentboy JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 2,104 Reaction score 2,073 Jan 13, 2016 #3 majukwaa yoote ya kenya!sijawahi kugusa kabisa kule na hata huwa sinaga hizo hisia!
Omygad JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 631 Reaction score 275 Jan 14, 2016 #4 mmu na chit chat
kinywanyuku JF-Expert Member Joined Jul 13, 2015 Posts 3,746 Reaction score 2,924 Jan 15, 2016 #5 jukwaa la kenya na jamii inteligence