Jukwaa gani hujawahi kuingia tangu ujiunge JamiiForums

Jukwaa gani hujawahi kuingia tangu ujiunge JamiiForums

Socw

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
1,329
Reaction score
2,644
Kwa upande wangu yale majukwa matatu kimombo na like jukwaa la uganda news and politics sijawahi kuingia hata siku moja...nayonaga tu
 
jukwaa la dini,na yale mengne ambayo ni private au ya premium.pia jukwaa la wakubwa nataman one day nianze nalo hili,nijue kilichomo ndani though mi mtoto...
 
Back
Top Bottom