Jukwaa gani unalipenda zaidi.

Princ

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2017
Posts
280
Reaction score
90
Jamani hivi mtu anaweza kuingia majukwaa yote kwa siku?
Au kama si hivyo sinilazima kuna mjukwaa ambayo lazima ayapite sababu anayapenda.
Mfano:
Mjomba MSHANA yeye nahisi anapenda sana Jamii Photos
Mimi mwenywe napenda sana Education Forum, ninasababu zangu.

Je na wewe jukwaa gani linakuvutia hapa JF yaani kila siku lazima ulifungue,_.**
 
Intelijensia...

Achana na ile jukwaa, ndio jukwaa pekee limebakiza heshima ya JF iliyopotea tangu 2012....
 
Yaani kunawatu humu ndani kila akiingia tu cha kwanza ni Jukwaa la Udaku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…