Jukwaa la Celebrity kwa sasa limevurugwa na watu hawa

Acha unafiki ndugu yangu, onesha hiyo post mkaruka au numbisa akiipongeza wcb kwa lolote au akiinenea mema.
Halafu hizo ngoma za wasafi utazipiga tu hata kama hupendi.
 
Kuna mtu dawa imeingia kwelikweli. Acha kulialia dawa iingie vizuri. Baadae tutaongeza dozi upone huo ugonjwa wako wa chuki kwa watu hata usiowafahamu.

Alafu kama unataka tuanze kukupromote na wewe useme tu hatuna kinyongo tutaifanya kazi hiyo kwa juhudi ileile.

WCB 4 LIFE.
#Kwa roho mbaya zenu itawachoma sana.
 
Acha unafiki ndugu yangu, onesha hiyo post mkaruka au numbisa akiipongeza wcb kwa lolote au akiinenea mema.
Halafu hizo ngoma za wasafi utazipiga tu hata kama hupendi.
Dogo mbona unanilazimisha niseme unachokitaka?
Mimi hao nawajua hawapo kama unvyodhani..
Sasa niweke nyimbo ambazo sizipendi ili iweje si ujinga huo?

Yaani mbuzi unataka niseme mbwa si ndo unafiki huo ikiwa mbuzi nimewataja wote
Na nna uhakika nao
Vipi kuhusu robidinyo nae vipi hapo? πŸ˜€ πŸ˜€πŸ˜€
 
Maneno yangu yamedhihirika..πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
mkuu nimekuelewa sana, tena kwa tasnia yetu ile(Disc jockey) hakuna kuegemea upande wowote.
 
Tatizo elimu, akili zao hazina upeo wa kujadili mambo mengine. Hapo ndio wamemaliza.
Na sisi tukienda nao sawa kama wanavyofanya wanakuita hater sijui INA maana ganiπŸ˜€πŸ˜€
 
mkuu nimekuelewa sana, tena kwa tasnia yetu ile(Disc jockey) hakuna kuegemea upande wowote.
Kaka wewe najua ni muelewa na unaelewa kazi yetu ilivyo kwamba hatutakiwi kuegemea upande wowote lakini hapa naitwa hater eti Kaka
 
Simple tu, narudia onesha post mkaruka ,numbisa ,cocastic hata waliyo like ambayo ni positive kwa Diamond na wcb wasafi, kwani huwa zinafutwa??? Ukishindwa basi wewe ni mnafiki kama wanafiki wengine., hivyo tu.
Wewe umeziona ziweke basi
Tatizo umeshindwa kumjua hata mtu aliye serious na anafanya jokes hao hawapo serious kama nyie hapo
 
Oyaaaa chawa niliowasema wamekujaa yaani wamehamia hapa kila mtu wanasema ana chuki na wcb everybody...!

Chawa mko kazini..
Mbona hata wewe chawa wa MBUZI uko kazini ingekuwa njema sana kama usingeegemea upande mmoja lakini kumbe na wewe chawa wa MBUZI tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…