Jukwaa la Celebrity kwa sasa limevurugwa na watu hawa

Celebrity sio wanamuziki tuu
 
Haya basi mkuu, nimekubali kuwa una miliki media hapa tz 😂
 

Hii ni kweli

Sijui huyu innocent dependent ana jambo gani na Diamond...huwezi kumkosoa akakuelewa,lazima aone ni chuki/wivu
 
Hapana usimponde lakini wanaomkosoa usichukulie kama chuki....Diamond ni binadamu kama binadamu wengine kuna mambo anakosea
Yeah ukimkosoa mtu unamjenga
Sema tatizo ni kwamba ma fans wa Mond na wasanii hawapendi msanii wao pendwa akosolewe wanafeel bad
 
Mimi nilichogundua lengo la mtoa bango Ni kutaka tujue yeye ni r. Presenter sawa Pancho tumeshakujua Sana. Lakini mond ni Kama maji usipoyanywa utayaoga tu
Unazingua dogo hahaha
 
Haya basi mkuu, nimekubali kuwa una miliki media hapa tz 😂
Kunichukia Mimi haisaidii nafanya kazi halali hebu sasa tugeukie kwako usikute upo chuo na unashindia mihogo hahah
 
Vyovyote vile atavyosema haina shida

Yeye Diamond ni nani asiambiwe bhana
Subiri watakushambulia sana kwake inno diamond ni mkamilifu hajawahi kukosea ni Mungu wake
Huu ujinga sijui wataacha lin sometime unaongea kitu cha kawaida tu ila
Unaulizwa "hivi chuki kwa diamond utaacha lini"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…