Jukwaa la Celebrity kwa sasa limevurugwa na watu hawa

That's how it should be

Nafikiri ukweli ndio unatakiwa kuwepo kwa true fan,ukisifia kila jambo unaonekana mnafiki
Sasa pale unapokosoa cha ajabu ndo wanasema mnafki
Bongo hii bwana
 
ila kuna watoto wapuuzi wamezid sana kusifia hadi zile copy and paste kwao wanaona sawa tu,hawajiulizi kwa nini nomination zimedrop sasa siku hizi?
 
ila kuna watoto wapuuzi wamezid sana kusifia hadi zile copy and paste kwao wanaona sawa tu,hawajiulizi kwa nini nomination zimedrop sasa siku hizi?
Na kama ukiongelea at east wanasema una chuki na wivu kumbuka dawa chungu ndo inayoponesha
 
Kunichukia Mimi haisaidii nafanya kazi halali hebu sasa tugeukie kwako usikute upo chuo na unashindia mihogo hahah
Wewe endelea kumiliki media hapa jf,sitaki kubishana na wewe.
Kama unataka hela weka namba apa nikuhonge,au Kama unaogopa kudhalilika nifate PM. Kuhusu swala la kula mihogo, me nakula mihogo Sana tu Ila iwe Ni ya kuchemsha,hivyo kama ulikuwa unataka kunipikia usijali pika tu, Ila kuwa makini usizidishe chumvi.
 
Hata mimi ni fan wa Mond Ila huwa sipendi kumsifia hata pale anapokosea huwa namchana
Ila wengi wanakuja huku sio kumkosoa Bali kushangilia makosa yake ndio maana mashabiki kindakindaki wanachafukwa[emoji1787][emoji1787]
 
Dah Dada siku ukijua kuwa me ndo nawalisha utasema nini sasa..

Ujue mpka sasa sijajua why unanfatafata sana yaani umeshikilia kazi yangu sijui wapi nimesema namiliki media yaani sijui unatafuta mume wa kukuoa?

Tafuta mwingine Dada me nishaoa
 
Sawa danga la jiji 🙌(vijana husema).
 
Vyovyote vile atavyosema haina shida

Yeye Diamond ni nani asiambiwe bhana
Joanah mbona diamond nilimkosoa tafuta Uzi unasema "diamond unakosea kwenye hili" sema tunatofautiana kwenye kujenga hoja ndio maana unahisi Kama labda diamond akoseagi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…