William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
- Nimezipokea kwa furaha sana habari za Mkuu wa Jukwaa la Katiba la Tanzania, kwamba jana amerudisha rasmi kadi ya CCM na kwamba sio mwanachama tena wa CCM, saafi saana maana nimekuwa nikjiuliza kwa muda mrefu sana sasa kwa nini hilo Jukwa hawajisajili kama Chama cha Upinzani maana ndio walichokuwa wanakifanya na nimeuliza sana nani anawafadhili?
- Habari kwamba Mkuu amejitoa CCM kwa sababu anataka kujiunga na Chadema ili agombee ubunge jimbo la Segerea ni habari njema sana, kwamba sasa tumejua rasmi kwamba kumbe huko ndiko alikokuwa anaegemea siku zote, ni vyema wengine wote kama yeye ambao bado wapo ndani ya CCM wakajitoa mapema maana hii speed mpya ya CCM, hatuna muda na wanafiki wenye sura mbili mbili, Kidumu Chama Cha Mpainduzi!!
Le Mutuz on my way to Kilindi/Tanga.