Jukwaa la Katiba, Jukwaa la Upinzani?

Joined
Apr 27, 2006
Posts
26,584
Reaction score
10,400
- Nimezipokea kwa furaha sana habari za Mkuu wa Jukwaa la Katiba la Tanzania, kwamba jana amerudisha rasmi kadi ya CCM na kwamba sio mwanachama tena wa CCM, saafi saana maana nimekuwa nikjiuliza kwa muda mrefu sana sasa kwa nini hilo Jukwa hawajisajili kama Chama cha Upinzani maana ndio walichokuwa wanakifanya na nimeuliza sana nani anawafadhili?

- Habari kwamba Mkuu amejitoa CCM kwa sababu anataka kujiunga na Chadema ili agombee ubunge jimbo la Segerea ni habari njema sana, kwamba sasa tumejua rasmi kwamba kumbe huko ndiko alikokuwa anaegemea siku zote, ni vyema wengine wote kama yeye ambao bado wapo ndani ya CCM wakajitoa mapema maana hii speed mpya ya CCM, hatuna muda na wanafiki wenye sura mbili mbili, Kidumu Chama Cha Mpainduzi!!

Le Mutuz on my way to Kilindi/Tanga.
 
Umeona eeee wanafiiki tupa kuleeeee kidumu kidumu ccm oyeeeee
 
nimekuwa nikitafuta kilichokufuraisha sikioni labda utusaidie sisi wengine kwani kujiunga na chama chochote si haki ya mtu sasa kilichokufuraisha ni kitu gani kwamba ametumia haki yake au vipi ??
 
Le mutuz na wewe unalitaka ilo jimbo kugombea ubunge 2015.
 
Kwa nchi yetu sasa hivi ukimuona mtu.anakakamaa saaaaana na.jambo fulani mtilie mashaka sana huwa wana ajenda za siri!!!!!!

Tuwe makini tunaoipenda nchi hii
 
Mchumia Tumbo wee unayeogopa wasomi kupamba nao. Tulikuona Ubunge wa EA ulivyoshindwa kujieleza kwa kimomba pamoja na kuisha New York over 25yrs. Katika watu 10 hasara duniani wewe unaweza kuongoza. You are not LeMutuz anymore, but Mr. Opportunist
 
Kama sijamuelewa huyu Mzee Kijana... hivi alishaacha kujirusha na vibinti vidogo? sijaamini kama hana Mtoto mzee malecela kazi anayo kapata Dume Tasa?
 
Huyu jamaa Nafikiri baba yake Mzee Malecela amtafutie mke ili awe na majukumu ambayo yatamfanya afikirie lasivyo atapata utindio wa ubongo kwani thread anazokuja nazo zinaonyesha wazi hana akili hata chembe

haha..siku hizi wanawake huwa wanawapima wanaume kwa misosi..wakiona mtu anaendekeza sana tumbo wanajua muda si mrefu atakuwa just like any other pet ktk nyumba.

Hembu muangalie le mutuz halafu jibu baki nalo.....
 
Chama cha Malechela a.k.a JUMANNE.
 
haha..siku hizi wanawake huwa wanawapima wanaume kwa misosi..wakiona mtu anaendekeza sana tumbo wanajua muda si mrefu atakuwa just like any other pet ktk nyumba.

Hembu muangalie le mutuz halafu jibu baki nalo.....

- ha! ha! great thinker jadili mada kama unataka kuongelea vitambi vya viongozi wetu feel free kuansisha topic hii topic haihusu vitambi! ha! ha1 ha! ha!

Le Mutuz
 
Kama sijamuelewa huyu Mzee Kijana... hivi alishaacha kujirusha na vibinti vidogo? sijaamini kama hana Mtoto mzee malecela kazi anayo kapata Dume Tasa?

- Ok vipi nikiwa na miaka 75 nagombea mchumba mke wa mtu mahakamani na nataka urais? ha1 ha! ha1

Le Mutuz
 
Mchumia Tumbo wee unayeogopa wasomi kupamba nao. Tulikuona Ubunge wa EA ulivyoshindwa kujieleza kwa kimomba pamoja na kuisha New York over 25yrs. Katika watu 10 hasara duniani wewe unaweza kuongoza. You are not LeMutuz anymore, but Mr. Opportunist

- Kumbe naweza kuja Chadema nikawa Mr. Opportunist? ha1 ha! ha! so ndio kazi yako huko? ha! ha1

Le Mutuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…