Jukwaa la Katiba, Jukwaa la Upinzani?

Kumbe ametekeleza familia??? hii kali...labda laana zinamsumbua sasa...
 
- Kumbe naweza kuja Chadema nikawa Mr. Opportunist? ha1 ha! ha! so ndio kazi yako huko? ha! ha1
Le Mutuz

Na wewe utakuwa ulizaliwa kwenye MBIO ZA MWENGE kama MWENEZI wa chama chako, maana hushabihiani kwa lolote na Dr. Mwele Malecela! Mbona Mwele ana akili nzuri tofauti na wewe?!
 
Na wewe utakuwa ulizaliwa kwenye MBIO ZA MWENGE kama MWENEZI wa chama chako, maana hushabihiani kwa lolote na Dr. Mwele Malecela! Mbona Mwele ana akili nzuri tofauti na wewe?!
Chezea mimba zisizotarajiwa weye!!!!!!!!!!! Wa kikopo ni wa kikopo tu daima.
 
le mutuuzz...!uko powa? kwahyo watuhakikishia kuwa mnaelewa fika kwanini polisi wanaitwa policcm...unakmbuka aliyekuwa kamanda wa polisi dar? tibaigana.. alipostaafu tu akawah kupekua madroo ilipokuwa kadi yake ya ccm fasta akawah lumumba kuomba agombee ubunge bukoba hko na mama tbaijuka...kumbe upendeleo wote huo kwa ccm alikuwa na lake jambo..? najua utasema ni haki yake..nakubali. but hebu jaribu kutenga tendo hlo na wa polisi utendaji unaolalamikiwa kuwa na upendeleo mkubwa sana...le mutuuz...salimia barabara ya nane..
 
Umeona eeee wanafiiki tupa kuleeeee kidumu kidumu ccm oyeeeee

Baada ya kufuatilia kwa makini na tena kwa karibu sana maandiko yako mengi . Na kujiridhisha bila shaka yoyote kwamba unachoandika ni pumba tupu , hatimaye NIMEKUDHARAU RASMI .
 
Umeishi usa muada mrefu toa maoni ya nchi zilizoendelea kwa wenzako ccm maana umerudi nawe umebadilika unataka kuwa dictator
 
- ha! ha! great thinker jadili mada kama unataka kuongelea vitambi vya viongozi wetu feel free kuansisha topic hii topic haihusu vitambi! ha! ha1 ha! ha!

Le Mutuz


Hapa ndo naamini falsafa ya akili ndogo na kubwa! By Msigwa!
 

kidumu kimeshatoboka siku nyingi,wenye akili wanatoka yanabaki mateja tu
 
Naweza kuwa sijakuelewa au nikawa nimekuelewa. Mkuu wa jukwaa la katiba anachokipigania ni nini? Masilahi ya chama, mtu binafsi au taifa? Kama anachopigania ni masilahi ya taifa na akawa na kadi ya chama tawala nitashangaa kabisa,kama amejitambua ni lazima awe na chama ya chama chenye mlengo sawa na anachokiamini. Willy unaamini katika uchama na ubinafsi ni lazima upigane kufa kupona uwe na kadi ya chama tawala! Sioni haja ya wewe kuanzisha post ya kukejeri demokrasia ndugu yangu. Mkuu kaamua na hajamtukana mtu! Ndugu tulete post za kusaidia taifa na si kupost mambo ambayo hayana umuhimu. Katiba ni kitu kingine kabisa na ni kitu kisichohitaji propoganda ili mradi tu mjiwekee matakwa yenu. UTAIFA KWANZA LE MUTUZ, u-vyama baadae.
 
Wapo ambao wamekuwa wababe, miswada wanapitisha bila Akidi, wanafukuza wenzao kibabe sababu Spika ni wa chama chao, wao ni mabingwa siku zote kwa kuwa hawajazoea kuona wanyonge wakiungana. Wanyonge wakiungana hata kwa yule anayewanyanyasa siku zote ipo siku ataufyata, hatujui hatima yake lakini kwanini tusisikilizane? Hoja zipo wazi ubabe wa nini? Kama ubabe ni suluhisho tusubiri ila hali isifike kama picha hii inavyoonyesha, wanyonge tuungane Tanzania inatuhusu wote!
 

Attachments

  • SIMBA.jpg
    48.4 KB · Views: 33
Mkuu wanatafuta ulaji tu hao jamaa, hawana cha ziada.
 
Na wewe utakuwa ulizaliwa kwenye MBIO ZA MWENGE kama MWENEZI wa chama chako, maana hushabihiani kwa lolote na Dr. Mwele Malecela! Mbona Mwele ana akili nzuri tofauti na wewe?!
Nyie watu mliozaliwa wakati wazazi wenu wanakeketwa mnashida sana!
 

'Sizitaki mbichi hizi' inaitafuna CCM kwa ujumla.
 
- ha! ha! great thinker jadili mada kama unataka kuongelea vitambi vya viongozi wetu feel free kuansisha topic hii topic haihusu vitambi! ha! ha1 ha! ha!

Le Mutuz

Ha..ha..Unajua si kwamba nimekuita pet..ila nimesema wanaume wanaondekeza matumbo sana huwa wanwake huwageuza kuwa Pets..si lazima ulale nja ili uwe pet....pet wengine ni company too...kuwepo ndani pasiwe boring, kuwapa kazi ya kupika na comliment kidogo ya kuwa ana mwili wa ki boss....kutekenywa na kuachwa wakila wakati mama anakwenda toka na wanaume na si pets...Pia ujue siku hizi wanaume wenye matumbo ya safura na utapiamlo hawana tofauti sana na mashoga mbele ya mwanamke..huwa ni pets wengine wa kuwasaidia vaa nguo ktk dressing table ,kuwaeleza wanawake km wamepedeza vya kutosha kwenda liwa na wanaume wengine..haha

Halfu pia ..hembu kua kidogo wewe boya......hii ni issue inakuhusu na si maficho una tumbo mbaya, huku ukifanya vizoezi vya kuongeza appetite ifikie ya fisi....kusema kuwa wengine wana vitambi hakukusaidii sana kuondoa hiyo kitambi...sasa utaonyesha tuu jinsi gani wezi nyie hamjasahau zile fashion za watoto wa mama wakichobokea mikuku ya madori na chips km chakula pekee bora Mjini.Naona huja update sana akili yako.

Sasa kujilinganisha na wengine kuwa nao wana itambi unanipa hisia kuwa hata hilo likitambi umeiga....hembu weka maelezo vyema....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…