Jukwaa la Katiba acheni kutumia mchakato wa kupata KATIBA MPYA kujinifaisha. Jana Kwa Mara ya kwanza kuitikia mwaliko wao UBUNGO PLAZA.
Vijana walijitokeza Kwa wingi na kutoa maoni Yao juu ya kuboreshwa Kwa mchakato hasa Katika Rasimu ya kwanza, mahubiri ya Deus kibamba yaligubikwa na UNAFKI WA KIZALENDO.nilikaa Mpaka mwisho nilichokiona Kwa MACHO YANGU NI.
Vurugu kubwa baada ya baada ya KIBANDA KUTOA MWONGOZO WA POSHO Kwa kila Mjumbe aliohudhuria atapatiwa POSHO.BILA YA KUANGALIA UZITO WA NAFASI ZA WATU.
Baadhi viongozi toka vyama vya kisiasa,serikali,taasisi mbalimbali na wanafunzi wa secondari.... Nini kilijiri na wengine wakiwa wanapokea POSHO zakutosha kuna POSHO 170'000/-,100'000/-,20'000/- na wengine 2'000/- Ninukuliwe tena wenyekiti wa JUKWAA LA KATIBA alitoa mwongozo wa kulipana POSHO KUWA WAJUMBE WOTE SAWA.
Nakwa maana Hiyo watalipwa sawa.SASA UTOFAUTI ULIKUJA KUONEKANA KWENYE KUPOKEA BAADA YA BAADHI YA WAJUMBE KUJAJUU NA KUSIMAMIA USAWA WA POSHO.
Nanukuu kauli zilizosikika kutoka Kwa WAJUMBE: -hapani USAWA hakuna Cha kutugawa,wanafunzi nao POSHO sawa kwani mwanafunzi sio WAJUMBE ?.
Wengine mmekuja hapa haja toa hata maoni lakini KWENYE POSHO mnajifanya mko Miele, tunaomba naomba zenu, wengine hatunashida na vijiposho vyenu.
RAI YANGU tunapoongelea maslahi ya taifa tuachane na hizi POSHO zitatugawa.