Jukwaa la katiba na kashifa za kulipana posho

ray jay

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
1,084
Reaction score
485
Jukwaa la Katiba acheni kutumia mchakato wa kupata KATIBA MPYA kujinifaisha. Jana Kwa Mara ya kwanza kuitikia mwaliko wao UBUNGO PLAZA.

Vijana walijitokeza Kwa wingi na kutoa maoni Yao juu ya kuboreshwa Kwa mchakato hasa Katika Rasimu ya kwanza, mahubiri ya Deus kibamba yaligubikwa na UNAFKI WA KIZALENDO.nilikaa Mpaka mwisho nilichokiona Kwa MACHO YANGU NI.

Vurugu kubwa baada ya baada ya KIBANDA KUTOA MWONGOZO WA POSHO Kwa kila Mjumbe aliohudhuria atapatiwa POSHO.BILA YA KUANGALIA UZITO WA NAFASI ZA WATU.

Baadhi viongozi toka vyama vya kisiasa,serikali,taasisi mbalimbali na wanafunzi wa secondari.... Nini kilijiri na wengine wakiwa wanapokea POSHO zakutosha kuna POSHO 170'000/-,100'000/-,20'000/- na wengine 2'000/- Ninukuliwe tena wenyekiti wa JUKWAA LA KATIBA alitoa mwongozo wa kulipana POSHO KUWA WAJUMBE WOTE SAWA.

Nakwa maana Hiyo watalipwa sawa.SASA UTOFAUTI ULIKUJA KUONEKANA KWENYE KUPOKEA BAADA YA BAADHI YA WAJUMBE KUJAJUU NA KUSIMAMIA USAWA WA POSHO.

Nanukuu kauli zilizosikika kutoka Kwa WAJUMBE: -hapani USAWA hakuna Cha kutugawa,wanafunzi nao POSHO sawa kwani mwanafunzi sio WAJUMBE ?.

Wengine mmekuja hapa haja toa hata maoni lakini KWENYE POSHO mnajifanya mko Miele, tunaomba naomba zenu, wengine hatunashida na vijiposho vyenu.

RAI YANGU tunapoongelea maslahi ya taifa tuachane na hizi POSHO zitatugawa.
 

Attachments

  • image.jpg
    107 KB · Views: 182
  • image.jpg
    78.7 KB · Views: 137
KUELEKEA KATIBA MPYA tutaona mambo
 
yaonekana ulifuata posho hata maoni yako yatakaa kiposho zaidi
 

Kumbe akina Deus Kibamba wanajifanya waropokaji kumbe wanapalilia mpunga wao? hii nchi jamani imeoza. yaani mtu kukaa kikao kimoja tu kusikiliza na kuchangia analamba mpunga ambao ni sawa na mshahara wa mwezi mzima wa mtumishi wa serikali. hii nchi jamani kila mtu anatamani kuwa fisadi.. halafu ona, usawa uko wapi. wa juu anapokea 170,000 na wa chini ni 2000 tu. mlaaniwe nye akina kibamba
 
Kauli ya Nape sasa inaanza kupata mashiko
 
Mbona haya mambo ya kawaida sana. Kila mtu na mnyonge wake.
 
Hawa akina kibamba wanapanua midomo ili kula za wahisani,na hili ndo linawadumaza waropokaji wengi wa tanzania,nchi haitajengwa na watu kama kibamba bali itajengwa na watu wanatamani kuona nguvu kazi kubwa ya taifa inazalisha,siasa za kina kibamba ni uhuni mtupu
 
Kibamba na genge lake ni wahuni wa kawaida sana, wanafiki waliojivika ngozi ya kondoo
 

sawa kabisa mkuu. hawa wamepewa share yao kutoka mafungu waliyopewa CHADEMA na mataifa ya nje kama NAPE NNAUYE alivyotudokeza
 

Pesa toka nje zimekuja kuharibu mchakato wa katiba! Mkuu hizi NGO na viongozi wake usidhani wanatoa mapovu bure kuna kitu kinawasukuma - Posho. Na hapo washukuru huenda mtoa fedha (mfadhili) alikuwepo ndio maana wakasema watu wote walipwe vinginevyo hizo za watu wote ilikuwa zichukuliwe na kakikundi ka watu wachache walio ndani ya jukwaa la Katiba. Kwa maana hiyo huenda huwa wanalipana kila mmoja milioni tano ikiwa ni posho ya kikao na kuorodhesha majina hewa ya wajumbe kwamba wamepokea posho na kuwasilisha kwa wafadhili.

Posho zitatugawa!

 

Nah, inasikitisha sana. Nilikuwa najiuliza kwa muda mrefu juu ya huu utitiri wa NGOs katika nchi maskini kama hii. kumbe ni dili! wanapata wa[pi hizo fedha za kuendeshea shughuli zao? ni serikali inawapa? la hasha, ni wazi kuwa zinatoka nje na hao wanaowafadhili bila shaka wana mambo wanatarajia yatokee. ni kama haya matusi ya akina DEUS KIBAMBA au HELLEN KIJO BISIMBA
 
Naona hili lingeanza posho ndio ingekua mada kuu ila lilikuja baada
 
Kama hata kuandika hoja kwa ufasaha your not capable, how about kutoa maoni ya katiba mpya? Mimi sipingi hoja yako, yawezekana ina ukweli, ila nenda kajaribu kui-frame tena, ina makosa makubwa sana, kiasi kwamba mtu hawezi kufatilia hoja yako vizuri. Kama ulitoa maoni kwenye hicho kikao, naweza zimia kwa presha, hiyo katiba itakuwaje? Mungu saidia kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…