Kibamba alikuwa pale tamganyika law society, walivoona ni mjasiriamali badala ya mtendaji wakampiga chini akaamua kuanzisha kashamba kake ka kula kimya kimya bila kuulizwa
Hakika watanganyiaka na wazanzibar tushakuwa mtaji wa matumbo ya wajanjawajanja kama huyu KIBAMBA. Mwanaharakati ambaye anajifanya mstari wa mbele kumbe mpigaji tu kama wengine...