Jukwaa la kuuza zaidi ya nyumba 13,000 ndani ya siku 4, kuanzia Tsh. 59M tena kwa mkopo kuja Dar

Jukwaa la kuuza zaidi ya nyumba 13,000 ndani ya siku 4, kuanzia Tsh. 59M tena kwa mkopo kuja Dar

DarProperty Tz

Senior Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
168
Reaction score
29
Tamasha la maonyesho ya nyumba na sekta shirikishi kufanyika kwa mara ya pili katika ukumbi wa Diamond Jubilee. V.I.P Hall, kuanzia tarehe 2-5 mwezi Mei mwaka huu 2015. Maonyesho haya yatajumuisha waendelezaji wa miradi yote mikubwa ya nyumba za makazi na nyinginezo, miradi hii ina idadi zaidi ya nyumba 13,000 kwa ujumla wake, nyumba aina mbali mbali zikiuzwa kwa bei poa kabisa kuanzia TZS. 59M nakulipia kwa awamu hadi ndani ya miaka 10, viwanja vilivyopimwa kwa matumizi mbalimbali pia vitakuwepo kwaajili ya kuuzwa papo hapo, pia taasisi za kifedha (Mabenki) zitashiriki na kutoa taarifa za mikopo ya nyumba na kupokea maombi ya mikopo papo hapo... wauzaji wa samani za ndani(nyumbani na ofisini), vifaa vya bafuni, jikoni zenye chapa na ubora wa kimataifa kuuzwa kwa bei za punguzo. watoa ushauri katika maswala ya ununuzi, upangaji (Real estate), mipango miji, sheria za makazi, bima nao watashiriki.
Kiingilio ni Bureee!
tembelea tovuti yetu hapo chini kujua zaidi.

The DarProperty Expo 2015

expo jamii11.jpg
 
Mi naona kutakuwa full fujo mana hizo taasisi ulizozitaja ni nyingi na watu watakuwa ni wengi eneo ni dogo
 
Mi naona kutakuwa full fujo mana hizo taasisi ulizozitaja ni nyingi na watu watakuwa ni wengi eneo ni dogo

Kuhusu fujo, hapana. ukizingatia maonyesho yatafanyika kwa siku 4, kuanzia asubuhi hadi jioni, hii itawapa watanzania wengi kuwa na muda tofauti tofauti wa kuhudhuria bila ya kusongamana.
 
Kutakuwa na taasisi na makampuni mbalimbali zinazouza nyumba na viwanja kwenye mikoa mablimbali kote nchini, njoo ujionee mwenyewe usingoje kusimuliwa.
 
Back
Top Bottom