DarProperty Tz
Senior Member
- Apr 24, 2011
- 168
- 29
Tamasha la maonyesho ya nyumba na sekta shirikishi kufanyika kwa mara ya pili katika ukumbi wa Diamond Jubilee. V.I.P Hall, kuanzia tarehe 2-5 mwezi Mei mwaka huu 2015. Maonyesho haya yatajumuisha waendelezaji wa miradi yote mikubwa ya nyumba za makazi na nyinginezo, miradi hii ina idadi zaidi ya nyumba 13,000 kwa ujumla wake, nyumba aina mbali mbali zikiuzwa kwa bei poa kabisa kuanzia TZS. 59M nakulipia kwa awamu hadi ndani ya miaka 10, viwanja vilivyopimwa kwa matumizi mbalimbali pia vitakuwepo kwaajili ya kuuzwa papo hapo, pia taasisi za kifedha (Mabenki) zitashiriki na kutoa taarifa za mikopo ya nyumba na kupokea maombi ya mikopo papo hapo... wauzaji wa samani za ndani(nyumbani na ofisini), vifaa vya bafuni, jikoni zenye chapa na ubora wa kimataifa kuuzwa kwa bei za punguzo. watoa ushauri katika maswala ya ununuzi, upangaji (Real estate), mipango miji, sheria za makazi, bima nao watashiriki.
Kiingilio ni Bureee!
tembelea tovuti yetu hapo chini kujua zaidi.
The DarProperty Expo 2015
Kiingilio ni Bureee!
tembelea tovuti yetu hapo chini kujua zaidi.
The DarProperty Expo 2015