Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Kwa watu wengi leo hii JF ni platform wanapopatia elimu mbalimbali kuhusiania na siasa, historia, burudani, sheria, technolojia, uraia na kadhalika. Kuna eneo moja ambalo ninadhani sasa ni wakati wake kulifungulia jukwaa maalum, yaani mazingira na mambo mengine ya asili. Modereta, tafadhali anzisha jukwaa hili kusudi mambo yote yanayohusu mazingira kama hili la mifuko ya plastic, na yanayohusiana na tabia asili za viumbe mbalimbali kujadiliwa bila kuchanganya na siasa.