Kuna mambo mengi ya mazingira na nature ambayo tunapoyajadili kisiasa au kiuchumi huwa tunakopoteza kabisa maana yake. Mfano wa Trump kuangalia Makubaliano ya Paris kuwa siyo siyo mazuri kwa uchumi wa marekani anakuwa anapoteza kabisa maana ya makubaliano hayo.Na hii mada ifanywe mada maalum ya mazingira
Nakubaliana na wewe kabisaKuna mambo mengi ya mazingira na nature ambayo tunapoyajadili kisiasa au kiuchumi huwa tunakopoteza kabisa maana yake. Mfano wa Trump kuangalia Makubaliano ya Paris kuwa siyo siyo mazuri kwa uchumi wa marekani anakuwa anapoteza kabisa maana ya makubaliano hayo.
Hebu tuisapoti mpaka watu waelewe na kuchangiaNairudisha thread hii ukurasa wa mbele kuhamasisha tuanzishe jukwaa hili. Kuna mambo mengi yanayohusu mazingira na nature ambayo tumekuwa tunayaungansiaha na siasa na uchumu na kusahahu athari zake za muda mrefu. Tulonge!
CC : JamiiForumsModereta sikiliza kilio hiki!