kwahiyo mods wataomba passport/ids za watu ili wajue jinsia zao.....???, na je hii itakuwa private forum kama livyo ya dini na ya wakubwa? You can never tell kwenye jf kama mtu ni mwanamke au mwanaume.. Wewe mwaga hoja hapa hatuangalii mtu behind the hoja bali hoja zenyewe...
Nilivyokukaribisha ulisema tukukosoe unapokosea....., from my point of view hapa dada.... mmmhhhWana jf, naja jinsi nilivyo.
Mimi si malaika kwamba nisikosee, wala si taahira nisiweze kuchangia.
Naomba nirekebishwe na kukosolewa pale ninapokosea.
Naomba nipongezwe pale ninapofanya vizuri.
Asanteni sana great thinkers
Mods, naomba lianzishwe jukwaa maalum kwa ajili ya wanawake, ambapo tutaweza kuyajadili kiunaga ubaga mambo yetu yanayotuhusu na kutukereketa moyoni.
Kuna baadhi ya mambo hatuwezi kuyaongea hapa kwenye jukwaa la mapenzi kwani kina baba hawachelewi kutuharibia threads zetu.
Pia uhuru wa kuongea utu wetu wa ndani unakuwa ni mdogo sana kwani tumeumbwa na nyuso za aibu mbele ya kinababa.
Nawakilisha
Likianzishwa tu.... fasta babu Asprin anaibuka na ID mpya....Anti dada... afu tunakamtana huko kama kawa...how is it?.
kila siku wanawake mnalilia kujitenga, mara vyama vya madaktari wanawake, mara nini cha wanawake, mbona sie midume ya mbegu hatna complication kama za kwenu?
hakuna maisha yasiyowachanganya wanaume na wanawake kwa pamoja, hiyo aibu unayosema ni yako binafsi, siye wenzio wala hatuna aibu, kama kitu ni fact kinasemwa na macho makavuu. Nakuona kama u-mgeni japo pia naona wayajua mengi ya humu jf! Karibu where we dare to talk openly!
Yes ni mgeni kwa kuwa sikuwa memba, but nilikuwa natembelea jf kila siku, hata nikiwa nasafiri nilikuwa natumia simu kupata uhondo