Jukwaa la wanawake (girls/ ladies forum)

Kutokana na report za kiitelijensia zilizotufikia sisi marafiki wa modes ni kuwa 60% ya ID zenye kuashiria jinsia ya kike ni za miwanaume tena mingine ina mvi mpaka kwenye kope za macho na mustache wa masikio

Hahahahaha!Alafu we unatoa siri za ndani?Mods watakuaresti!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…