Jukwaa la watu kutoka Burundi

zilipendwa hizo sio sasa boss!!saaa ivi Nkurunziza kawanyoosha woote full heshima!
 
Warundi wamedhuru pesa tangu wanaigiza sio wadhurumaji na kujinadi wacha mungu kumbe sio [emoji24][emoji24][emoji24]
 
 
Mimi msukuma bwana. Sema kule napenda kula ugali wa rowe na mgebuka wa kuchoma.
wewe mwanzo ulixema umeolewa na mtanzania tu,ukimaanisha wewe siyo mtz,Sasa apartment unasema wewe msukuma,mmmmmmhhh ok kwahiyo mume wako anasemaga kabila gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…