HUNIJUI SIKUJUI
JF-Expert Member
- Apr 4, 2015
- 1,335
- 1,554
Pamoja na Ulyankuru kulikua na makambi yao...nadhani unaikumbuka kwaya ya Ulyankulu barabara ya 13Halafu hii mitaa ya kutaja barabara ipo sana katumba katavi. Sijui ni warundi nao?
Yes now I get the connections.Pamoja na Ulyankuru kulikua na makambi yao...nadhani unaikumbuka kwaya ya Ulyankulu barabara ya 13
Jamani nilienda Burundi tukaletewa zile ngoma zao za asili duh...jamaa wanajua hadi raha.Ao unao kutana nao ndio hawajiamini, mimi najiamini na vile vile I'm proud to be a burundian ndio maana ata jukwaa nimelianzisha mimi