Jukwaa spesheli kwa wazee wa arachuga na mo-town

adden

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
7,033
Reaction score
15,638
wazee wa kipande hii
hili jukwaa kwa ajil yetu wajanja wa chuga na moshi!
asikwambie mtu wajanja wote na machalarii wote wa kisela tunasomeka kipande hii!
wa da slam wanatuogopa sana machizi wa pande hizi.
karibuni tupeane salam na kufahamiana mazee
mi kitaa zangu huku moshi stend ndo nnapojidai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Childish!

I wish i didn't read this.
 
Lakini kuna mikoa mingine
Sijui kwanini umeishindanisha dar
Dar jiji LA mishemishe
Wauza nyama barabarani
Kila MTU anamuona mwenzie mjanja
Dar hata wewe unatamani ukakae
Dar hadi mbolea zinauzwa
Hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sakina moja....

No matter how evil money is,but being broke is not holly.
 
Haya kesho mukuje MILESTONE nyie machaliiniwapige za kutosha
Tupo pamoja...

Arusha The Half London of Tanzania

Pamoja arifu


Mi nipo Njiro Arusha...

Sent using Jamii Forums mobile app

Sakina moja....

No matter how evil money is,but being broke is not holly.
 
Umeandika kibangi bangi humu kuna watu wana heshima zao hao unaowatafuta ni wavuta bangi wenzako kawatafute huko fb hapa sio mahara pake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…