Z zandrano JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 7,893 Reaction score 8,816 Jul 8, 2022 #21 Tunamuomba Rais wetu Mama Samia alisimamie suala hili la matumizi ya Lugha yetu ya Kiswahili kama alivyo kuwa mtangulizi wake Hayati JPM.
Tunamuomba Rais wetu Mama Samia alisimamie suala hili la matumizi ya Lugha yetu ya Kiswahili kama alivyo kuwa mtangulizi wake Hayati JPM.
Z zandrano JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 7,893 Reaction score 8,816 Jul 8, 2022 #22 Mwifwa said: Kwa hiyo hata Putin naye anajua hili kuwa leo ni siku ya Kiswahili Duniani!!? Click to expand... Putin yeye anaenzi kirusi na amefika mefanikiwa kupiga hatua kubwa ya kimaendeleo kama nchi kwa kutumia lugha yake, vivyohivyo; kwa Korea, Turkey, Iran, n.k.
Mwifwa said: Kwa hiyo hata Putin naye anajua hili kuwa leo ni siku ya Kiswahili Duniani!!? Click to expand... Putin yeye anaenzi kirusi na amefika mefanikiwa kupiga hatua kubwa ya kimaendeleo kama nchi kwa kutumia lugha yake, vivyohivyo; kwa Korea, Turkey, Iran, n.k.
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,355 Reaction score 14,408 Jul 8, 2022 #23 Viva Afrika viva Kiswahili.