Julen Lopetegui Argote Kutimuliwa siku yoyote REAL MADRID

Julen Lopetegui Argote Kutimuliwa siku yoyote REAL MADRID

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kwa namna yoyote ile kocha huyu mbovu mwenye miaka 52 , aliyewahi kuwa golikipa miaka iliyopita hana nafasi tena ya kufundisha Real Madrid .

Naamini mpaka kufika muda timu imemvumilia vya kutosha sana , kwa hali ilipofikia hakuna tena cha mswalie mtume .

UPDATES :
....................
Tayari Timu ya Real imethibitisha kumtimua Lopetegui na nafasi yake itashikwa na Santiago Solari kwa muda .
 
Madridiots ni team iliyojaa vikongwe tu haina jipya
 
Bado apewe nafasi. Ni kocha mzuri na anaecheza mpira mzuri. Anahitaji mda tu kidogo mambo kukaa sawa, hasa kwa mfumo wake anaotumia.
Perez asifanye maamuzi ya haraka. Naamini timu itatulia tu simda. Ila Sirius timu inahitaji new defenders kuwareplace Varana, Ramos na Marcello.
 
Kosa lake la Kwanza ni kuacha kusajili mbadala wa kueleweka wa Ronaldo yeye anaenda sajili Mariano..... Pia wanacheza beautiful ball isiyo na madhara....pia alizingua kuleta ujinga timu ya taifa Spain mwenyewe alisema hata angeambiwa arudie tena kuchagua angekubali ukocha Madrid.... Now anaenda mapumzikoni Mapema kabisa
 
Madrid haina bahati. Mashuti hayo hayo yaliyokuwa yanakuwa magoli msimu uliopita sasa hivi yanapigwa vile vile na hayawi magoli. Neno witchcraft ni la kiingereza. Haliwezi kutungwa kama hiyo witchcraft haipo.
Mechi 4 mfululizo bila kufunga goli wakati ambapo imepiga mashuti zaidi ya 30 dhidi ya pungufu kwa 7 kwa timu pinzani.
Hata Getafe hapitishi mechi NNE bila goal.
 
Mmadrid ya sasahivi imechoka mno.Hata wakikutana na Wekundu wa Msimbazi wanachezea.Ila ni kipindi cha mpito,Perez atulize wenge mana ndio anajiltea haya yote kwa kubadili makicha kama daladala
 
Bado apewe nafasi. Ni kocha mzuri na anaecheza mpira mzuri. Anahitaji mda tu kidogo mambo kukaa sawa, hasa kwa mfumo wake anaotumia.
Perez asifanye maamuzi ya haraka. Naamini timu itatulia tu simda. Ila Sirius timu inahitaji new defenders kuwareplace Varana, Ramos na Marcello.
Ramos ana laana ya yule mwarabu wa Liverpool! Kamwe hawezi baki salama
 
Kosa lake la Kwanza ni kuacha kusajili mbadala wa kueleweka wa Ronaldo yeye anaenda sajili Mariano..... Pia wanacheza beautiful ball isiyo na madhara....pia alizingua kuleta ujinga timu ya taifa Spain mwenyewe alisema hata angeambiwa arudie tena kuchagua angekubali ukocha Madrid.... Now anaenda mapumzikoni Mapema kabisa

mkuu marino hajasajiliwa na kocha. Uongozi wa timu ndio ulileta maamuzi ya kumsajili.
 
El clasico Barca 4 - 1 Real Madrid , game on !
 
Back
Top Bottom