Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
tetesi hizo zipo .Wampe wenger
Wenger ataimudu madrdtetesi hizo zipo .
kwahiyo aachwe timu iendelee kuchoka ?Timu imecheza Kwa kiwango cha juu Sana karibia Miaka 4 mfululizo, ni lazima exhaustion itokee, tiredness, fatigue n.k
No way, apewe kitita manyoya aende sokoni kununua wachezaji wapya, hawa waliopo wengi wao wamechokaa!kwahiyo aachwe timu iendelee kuchoka ?
Ramos ana laana ya yule mwarabu wa Liverpool! Kamwe hawezi baki salamaBado apewe nafasi. Ni kocha mzuri na anaecheza mpira mzuri. Anahitaji mda tu kidogo mambo kukaa sawa, hasa kwa mfumo wake anaotumia.
Perez asifanye maamuzi ya haraka. Naamini timu itatulia tu simda. Ila Sirius timu inahitaji new defenders kuwareplace Varana, Ramos na Marcello.
Kosa lake la Kwanza ni kuacha kusajili mbadala wa kueleweka wa Ronaldo yeye anaenda sajili Mariano..... Pia wanacheza beautiful ball isiyo na madhara....pia alizingua kuleta ujinga timu ya taifa Spain mwenyewe alisema hata angeambiwa arudie tena kuchagua angekubali ukocha Madrid.... Now anaenda mapumzikoni Mapema kabisa
Moyes kama mchawi vile ! usishangae anakabidhiwa timu .Wampe moyes