Naomba kufahamu au kujua Histori kijana huyu anayeonekana kuwa na nguvu katika Taifa lenye nguvu za kiuchumi kusini mwa Afrika South Afrika amekuwa akinivutia kumfahamu mwenye historia yake tafadhali anisaidie kumjua Julias Malema
Mimi historia yake naijua fika ila naona uvivu kufunguka yote hapa, kwa msaada zaidi nenda kwny mtandao wa WIKIPEDIA huko utapata historia ya Malema, au gugo Julius Malema Wikipedia.