Anataka uchomolewe huyo na sio kuvunjwaKwahiyo hutaki avunje mwiko?
Kwani hiyo yanga ina Mayele tu?Ndiyo maana makocha wa Bongo hawapigi hatua ukilinganisha na wale wa nchi jirani. Kama ilivyo kwa wachezaji, na wenyewe akili zao zimetawaliwa nasiasa za simba na Yanga.
Kuna kila dalili ya timu yake kugungwa hiyo kesho. Maana atahamasisha wachezaji wake kuukamia mchezo na kuwakamia akina Mayele! Badala ya kuwekeza kwenye mbinu za kupata ushindi dhidi ya mpinzani wake.
Kwakuwa ameonyesha mahaba yake, na kwakuwa ametaka kuisaidia timu nyingine ya simba ili irudi kwenye mbio za ubingwa na sio timu yake anayoifundisha basi kipigo kwake akiepukiki, Anaonyesha dhairi ya kuwa wameikamia mechi wakiwa na malengo yao ya kutumwa na timu nyingine waisaidie kuizuia yanga lakini siku zote mkamia maji ayanywi!!! dk 90 zitaongea!Huyu kocha Kwa kauli hii anaonekana kabisa anaipambania Simba iwe bingwa na sio timu yake.
Hii inatoa mashaka kama kweli siku timu yake itakapocheza na Simba hataihujumu timu yakeView attachment 2196561
Kweli kabisa... Utopolo pia mmekamia sana kuifunga Namungo.... lakini siku zote mkamia maji ayanywi!!!
Hii ndio shida ya waandishi wa habari wa kisasa, wanapenda kunukuu kakipande tata bila kuweka stori kamiliHuyu kocha Kwa kauli hii anaonekana kabisa anaipambania Simba iwe bingwa na sio timu yake.
Hii inatoa mashaka kama kweli siku timu yake itakapocheza na Simba hataihujumu timu yakeView attachment 2196561
Kwa kocha makini angepotezea kujibu swali la aina hiyo. Maana halihusiani na mechi iliyopo mbele yake! Lakini pia yeye siyo mchambuzi wa mpira, hivyo hakuwa na sababu ya kujibu swali la kishabiki kama hilo.Hii ndio shida ya waandishi wa habari wa kisasa, wanapenda kunukuu kakipande tata bila kuweka stori kamili
Julio aliulizwa je Yanga tayari ni Bingwa wa msimu huu na amemvua Simba ubingwa kwasababu ya gap kubwa la point?..........chukua hayo majibu na swali hili kisha pima uone kama kuna shida katika hayo majibu
Kuifunga namungo sio mjadala wa kujadili apa tena, kupigwa atapigwa mtake msitake na kitachowaponza ni kauli za mwanachama wa simba ambae ni kocha wao,,ni bora angenyamaza lakini naona amezidi kuongeza petroli kwenye moto,,ngoja tusubili tuoneKweli kabisa... Utopolo pia mmekamia sana kuifunga Namungo