John Mnyika
JF-Expert Member
- Jun 16, 2006
- 713
- 1,246
Nikiwa njiani kuelekea Tarime, naomba kutoa rambi rambi kwa kifo cha Wakili Ndyanabo.
Namkumbuka marehemu kama mmoja wa wakazi wa jimbo la Ubungo aliyekuwa mstari wa mbele kutetea demokrasia kupitia taaluma yake ya uanasheria.
Marehemu atakumbukwa pia kwa mchango wake kupitia kesi aliyofungua kupinga kiasi cha fedha kinacholazimika kuwekwa kama dhamana katika kufungua kesi cha uchaguzi.
Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema.
JJ