John Mnyika
JF-Expert Member
- Jun 16, 2006
- 713
- 1,246
naye alikuwa CHADEMA au CCM?
amazing!
watoto 19 wamekufa Tabora hata kuonesha uungwana wa kikwete kutoa pole hapana umekimbilia kumkingia kifua Dr. Dau. Hapa zimeletwa habari za kifo cha Ndyanabo ambaye alikuwa anajulikana; wewe unakuja na kuuliza kama alikuwa CHadema au CCM; na kama alikuwa Chadema ungeuliza kama alikuwa Mchagga au Mzaramo? Na angekuwa CCM ungeuliza kama alikuwa Mkristu au Muislamu? It just makes sense!
Mzee Mwanakijiji,
Hiyo beef yako kwa GT nadhani mngewasilana kwenye PM zenu kwani tayari umeamua kuendelea kutwist maudhui ya thread hii.
Kwa heshima na taadhima please acheni thread hii kama ilivyo.
alipouliza kama "CCM au Chadema" haikuwa kutwist maudhui na ulikaa kimya? Hukuona sababu ya kukosoa wakati huo siyo? ila mimi ndiye nimetwist maudhui. Really?
M/kijiji
Nilikwisha iona kuwa imekuwa twisted na sikutaka kuiendeleza, kama ambavyo FMES husema, huiacha hoja ife yenyewe, kwahiyo ile twist ya kwanza ilitakiwa iachwe ife na siyo kuiendeleza. Naomba hii post mkuu iwe ndiyo ya mwisho tusiendelee kutwist mambo zaidi.
(RIP Ndyanabo) Poleni wafiwa, halafu pundamilia ungemuuliza GT hata kusema pole kwa wafiwa hawezii? hata kama ni CCM au CHADEMA lakini at least hata kuwapa pole wafiwa.Mzee Mwanakijiji,
Hiyo beef yako kwa GT nadhani mngewasilana kwenye PM zenu kwani tayari umeamua kuendelea kutwist maudhui ya thread hii.
Kwa heshima na taadhima please acheni thread hii kama ilivyo.