Mwanakijiji,
Hii picha ni ya mwaka gani? maana mimi Julius Ndyanabo ninayemfahamu alikuwa mtu wa miraba minne na alikuwa na ofisi zake pale jirani na kituo cha mabasi ya Uda cha stesheni!
By the way to add twist, alikuwa wakili wetu Yanga (Young Affrican Sports Club)!
Nikiwa njiani kuelekea Tarime, naomba kutoa rambi rambi kwa kifo cha Wakili Ndyanabo. Namkumbuka marehemu kama mmoja wa wakazi wa jimbo la Ubungo aliyekuwa mstari wa mbele kutetea demokrasia kupitia taaluma yake ya uanasheria. Marehemu atakumbukwa pia kwa mchango wake kupitia kesi aliyofungua kupinga kiasi cha fedha kinacholazimika kuwekwa kama dhamana katika kufungua kesi cha uchaguzi. Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema.
JJ
Another twist, he was a lawyer representing VIP company of James Rugemalira the man behind IPTL saga.