Mbaga Lazaro
Senior Member
- Aug 9, 2020
- 132
- 108
Chama cha upinzani nchini Afrika Kusini, Economic Freedom Fighters (EFF) kinachoongozwa na Julius Malema kimempongeza William Ruto kwa kushinda kinyang'anyiro cha urais.
Malema amemtaka Raila Odinga kukubali matokeo ya urais ili kuruhusu mpito mzuri wa mamlaka.
Malema amemtaka Raila Odinga kukubali matokeo ya urais ili kuruhusu mpito mzuri wa mamlaka.