Julius Malema ndiye dawa ya watu kama akina Mwigulu

Julius Malema ndiye dawa ya watu kama akina Mwigulu

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Ni mbunge shupavu asiye hitaji hata sekunde ya kumpamba kiongozi.

Huyu bwana mdogo wa "uvccm" ya kwa mzee wetu Madiba hana chembe ya uchawa kwa walio madarakani.

Angekuwa ndani ya bunge letu naona hawa kina Mwigulu wasingekuwepo bungeni.

 
Nani atamruhusu akue kisiasa kufikia kiwango hcho ,
 
Ni mbunge shupavu asiye hitaji hata sekunde ya kumpamba kiongozi.

Huyu bwana mdogo wa ...uvccm...ya kwa mzee wetu Madiba hana chembe ya uchawa kwa walio madarakani.

Angekuwa ndani ya bunge letu naona hawa kina Mwigulu wasingekuwepo bungeni.View attachment 2512776
Wooah
So bold
 
Back
Top Bottom