Siku hazigandi mzee
WooahNi mbunge shupavu asiye hitaji hata sekunde ya kumpamba kiongozi.
Huyu bwana mdogo wa ...uvccm...ya kwa mzee wetu Madiba hana chembe ya uchawa kwa walio madarakani.
Angekuwa ndani ya bunge letu naona hawa kina Mwigulu wasingekuwepo bungeni.View attachment 2512776
Naona chuki tu. Unafiki wa Tundu Lissu ni upi?Lissu ni mnafki